ORIJINO KOMEDI WAPATA PIGO JINGINE, MENEJA WAO AWAKIMBIA. SOMA HAPA
Baadhi ya waigizaji wa kipindi cha orijino Komedi kutoka kushoto ni Joti, Wakuvanga, Mpoki, Masanja mkandamizaji na Maclegan.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Seven alisema ameachana nao
baada ya mkataba wake wa sasa kumzuia kufanya kazi na watu wengine zaidi
ya walio chini ya mwajiri wake mpya.“Hivi sasa niko na Sony, wao wananizuia kufanya kazi na wasanii ambao hawako nao, hivyo baada ya mkataba wangu na wao kumalizika, nimeamua kuachana nao.
Aliyekuwa
meneja wa kundi la Ze Comedi, mtangazaji nyota wa zamani wa
televisheni, Christina Mosha maarufu kama Seven akifafanua jambo.
Mimi ni mwakilishi wa Sony barani Afrika, ninashughulika na wasanii
toka nchi tofauti za Afrika, kama Senegal, Kenya na kwingineko kasoro
Afrika Kusini,” alisema.
ORIJINO KOMEDI WAPATA PIGO JINGINE, MENEJA WAO AWAKIMBIA. SOMA HAPA
Reviewed by Unknown
on
03:01:00
Rating: