LEAKED PHOTOS ZA KIMAPENZI ZA JOKATE NA CALISAH ALIEKUWA MPENZI WA WOLPER!!!!...YADAIWA WAPO KWENYE PENZI CHANGA!!!
Huyu Calisah ni Model maarufu wa kiume...ambaye siku za hivi kariburi
alikuwa ana mahusiano yakimapezi na Jackline Wolper....kama tulivyo
ripoti siku za nyuma kidogo.
Wiki kadhaa zilizopita inasemekana penzi lao LUKU ILI KATA.....Hadi sasa
Calisah amefuta picha zote za Wolper kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM
ambapo zilikua zaidi 30..hahahaha
Leo kutoka huko INSTAGRAM wadaku wamezidaka picha hizi za JOKATE akiwa
na CALISAH katika mapozi ambayo watu wanashindwa kuyaelewa!!! Kama
unavyoziona....Jiongeze kiutuuzima!!!
LEAKED PHOTOS ZA KIMAPENZI ZA JOKATE NA CALISAH ALIEKUWA MPENZI WA WOLPER!!!!...YADAIWA WAPO KWENYE PENZI CHANGA!!!
Reviewed by Unknown
on
09:28:00
Rating: