kimenuka Uko Insta!! Jokate atupia picha zakimahaba akiwa na Mwanaume wake na kuapa lazima ampeleke kwa babu yake

Screen Shot 2014-08-21 at 1.46.23 PM
  BongoLaivuTz inatambua kwamba Jokate ameshaingia rasmi kwenye kufanya muziki wa bongofleva huku akithibitisha kuwa na nyimbo alizorekodi tayari na atazitoa hivi karibuni kwenye Radio, ni kitu ambacho alikizungumza baada ya kupanda kwa suprise kwenye stage ya Fiesta 2014 Mwanza na kuperform moja ya nyimbo hizo mpya
Baada ya kukueleza hayo nataka kukukutanisha na picha alizoweka Jokate leo ambapo moja ameandika ‘huyo ananimaliza‘ na nyingine ameandika ‘nampeleka kwa babu wangu wa Kingoni
Bila kutoa maelezo zaidi ya hapo ambapo Wataalamu wa mambo wanahisi hii inaweza kuwa teaser ya video yake mpya kutoka kwenye moja kati ya nyimbo zake.
Screen Shot 2014-08-21 at 1.46.32 PMScreen Shot 2014-08-21 at 1.48.46 PMScreen Shot 2014-08-21 at 1.48.52 PM
kimenuka Uko Insta!! Jokate atupia picha zakimahaba akiwa na Mwanaume wake na kuapa lazima ampeleke kwa babu yake kimenuka Uko Insta!! Jokate atupia picha zakimahaba akiwa na Mwanaume wake na kuapa lazima ampeleke kwa babu yake Reviewed by Unknown on 05:34:00 Rating: 5
Powered by Blogger.