skip to main |
skip to sidebar
Week Kama tatu zilizopita Udaku Special
tuliweka Habari kuhusu Majina ya Waliofauli Usaili wa Nafasi ya
Ukonstebo Pale Uhamiaji ambayo ilisemekana yalikuwa yamechakachuliwa
kwani wengi waliopata kazi hiyo walikuwa na undugu na wafanyakazi wa
Idara hiyo, Baada ya Habari hiyo Serekali ilisimamisha mchakato huo
kupisha uchunguzi , Leo taarifa zimepatikana kuwa ni ukweli majibu ya
usaili huo yalichakachuliwa na kuwaacha waliofaulu na wahusika kuweka
ndugu ama jamaa zao hivyo basi matokeo ya usaili huo yamefutwa rasmi
Mpaka hapo Utakapofanyika Usaili Mwingine
IMEBAINIKA NI KWELI MAJINA YA WALIOFAULU ULE USAILI WA UHAMIAJI YALICHAKACHULIWA
Reviewed by
Unknown
on
00:50:00
Rating:
5