Exclusive;Kama ulikuwa Humjui basi huyu ndiye Girlfriend wa BenPol
Ben Pol ni msanii ambaye amekuwa nadra kuingia kwenye headlines
zinazohusu mapenzi ya mastaa wa bongo na pia ni miongoni mwa wasanii
wasioweka hadharani mahusiano yao ya kimapenzi.
Lakini safari hii
muimbaji huyo wa ‘Unanichora’ ameibua maswali mengi baada ya kupost
picha iliyozua maswali mengi, lakini yote yakihitaji jibu moja tu, ‘Huyu
ndiye ‘baby’ wa Ben Pol?
Katika
picha Ben Pol anaonekana kifua wazi huku pembeni yake yupo mrembo
aitwaye Latifah Mohamed aliyekuwa mshindi wa pili katika Miss Tanzania
2013.
Exclusive;Kama ulikuwa Humjui basi huyu ndiye Girlfriend wa BenPol
Reviewed by CapchaMuzic
on
02:14:00
Rating: