Diamond Platnumz asikitishwa na kitendo hiki alichofanyiwa nchini Ujerumani…


 http://greatlakesmix.com/news/wp-content/uploads/2013/10/IMG_0068-800x533.jpg
Kama msanii ni furaha kwako kuona unapoalikwa kwenda kupiga show nchi za wenzetu unapata muda wa kutosha kukaa na mashabiki wako sababu ni nadra sana show kama hizi zitatokea.  Jana Diamond alikua anapiga show kubwa nchini ujerumani na kuashiria kwamba ilikua kubwa angalia jinsi huu ukumbi ulivyokua mkubwa.
Ukumbi-wa-Show-ya-Diamond-Ujerumani
Kilichomsikitisha Diamond ni kitendo cha promota wake kumpeleka kwenye shoo hii mida ya alfajiri huku akiwachosha mashabiki wake waliotoa mkwanja kuja kumuangalia. Diamond alisema haya kuhusiana na hii ishu ” kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany… kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jins watu walivyoamua kujitolea kuja kwa wingi kutusupport vijana wao, halaf mwisho wa siku promoter anatupeleka wasanii kwenye show saa kumi alfajiri… najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed… lakini naomba mtambue kuwa halikuwa ni kosa langu, coz mimi ni mgeni tu, na nafata maelekezo ya promoter…hivyo nisingeweza kujiamulia kuja muda ninaoutaka mimi….
Diamond-Performing-in-Germany
Diamond Platnumz asikitishwa na kitendo hiki alichofanyiwa nchini Ujerumani… Diamond Platnumz asikitishwa na kitendo hiki alichofanyiwa nchini Ujerumani… Reviewed by CapchaMuzic on 07:48:00 Rating: 5
Powered by Blogger.