Big Booty United (BBU): Masogange na Mkenya Corazon wakutana (Picha)

Baada ya kupeana shoutouts kibao kupitia Instagram, warembo wa Afrika Mashariki waliojaaliwa ass(ets) za nguvu, Agnes Masogange na Corazon Kwamboka wa Kenya hatimaye wamekutana.
10369322_931479166867490_572349070_n
Agnes na Corazon
Warembo hao ambao asilimia 80 ya picha zao za Instagram huhakisha zinaonesha kile walichobarikiwa zaidi na mwenyezi Mungu (booty), wamekutana nchini Afrika Kusini.
10601815_785195198197245_1905952916_n
Corazon, Jux na Masogange
10570062_640145092759563_1860801373_n
Picha zao zimevutia maoni ya wengi huku mmoja akiandika: It seems big booty girls know each other across Africa na mwingine kuandika: The Clash of the Booties.. Masogange vs Lily. And the winner is..
10569992_1545103312384389_1032828610_n
Kabla ya kukutana, wawili hao wamekuwa wakisifiana kwenye Instagram mara kwa mara.
10349344_772562732766750_105941382_n
Corazon Kwamboka

Akiweka picha ya Masogange Instagram, Corazon aliwa kuanndika: This chick though, blazing! Fire! Face, complexion, figure, wonderful heart.. love her to bits @misgerald #kisses. She my WCW for real.
10401722_140112419492829_620560911_n
Masogange
Naye Masogange kupitia Instagram aliwahi kuweka picha ya mrembo huyo na kuandika: I’m in love with her watu na ma ass yao duh mm hapa sigusiii ndukiiiii @lilythegenie.

Big Booty United (BBU): Masogange na Mkenya Corazon wakutana (Picha) Big Booty United (BBU): Masogange na Mkenya Corazon wakutana (Picha) Reviewed by Unknown on 09:19:00 Rating: 5
Powered by Blogger.