(video)Angalia alichosema Prezzo,kuhusu msanii huyu anayemkubali Bongo awashangaza wabongo wengi…
Katika hali isiyo kuwa yakutarajia, msanii maarufu kutoka Kenya ambaye inasemekana anamkwanja mrefu, kutokana na biashara zaje za madini Prezzo, juzi kati aliwaacha midomo wazi wabongo wengi kwa kile ambacho kilisemekana kuwa kumbe wawili hawa ni mabeste wakubwa tu, Prezzo alitokea kumpa salamu za kumsifia msanii kutoka tzee maarufu kama H.baba, ilishangaza watu kutokana na kutoelewa ukaribu huu umetokea wapi haswa ukiangalia wawili hao wanafanya aina ya muziki tofauti kabisa, angalia sekunde kadhaa tu za kipande hiki cha video.
(video)Angalia alichosema Prezzo,kuhusu msanii huyu anayemkubali Bongo awashangaza wabongo wengi…
Reviewed by Unknown
on
01:44:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
01:44:00
Rating: