Picha: Si Baba Malcom tu, Nikki Mbishi sasa anamtoto Mwingine Mcheki hapa akiwa na Demu wake bonge la pini!!!

Hivi karibuni rapper Nikki Mbishi aliongeza member mwingine kwenye familia yake.
10507999_326511430857235_1197116774_n
Nikki akiwa na mwanae, Nathan
Rapper huyo ana amepata mtoto mwingine wa kiume aitwaye Nathan. Tayari rapper huyo ana mtoto mwingine wa kiume aitwaye Malcom.
10488710_1518807348349210_750963651_n
Mama Nathan ameandika: Together God gave us Nathan!! yes he is his father no more questions!! Have a good day people
Picha: Si Baba Malcom tu, Nikki Mbishi sasa anamtoto Mwingine Mcheki hapa akiwa na Demu wake bonge la pini!!! Picha: Si Baba Malcom tu, Nikki Mbishi sasa anamtoto Mwingine Mcheki hapa akiwa na Demu wake bonge la pini!!! Reviewed by Unknown on 03:27:00 Rating: 5
Powered by Blogger.