Msikilize Shettah@Baba Qayllah akimpa Makavu Live Young Killer Kuhusu tabia ya kumpiga Demu wake Kila Siku
Uhusiano wa kimapenzi kati ya Rapa Young Killer na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina la Halimaty umesemwa kuwa na dosari baada ya Young killer kusemekana kumpiga msichana huyo.
Inavyosemekana majirani wa Young killer walimwambia Shettah kuwa akae na Young Killer ili amfahamishe mwenzake tabia ya kumpiga msichana sio nzuri,sikiliza maongezi haya yalikuwa baina ya Young Killer,Shettah na Soud Brown.
Msikilize Shettah@Baba Qayllah akimpa Makavu Live Young Killer Kuhusu tabia ya kumpiga Demu wake Kila Siku
Reviewed by Unknown
on
08:49:00
Rating: