KUMBE NEY WA MITEGO NI MUONGO MKUBWA, KUMBE HANA NYUMBA 3 KAMA ALIVYOTAMBA. SOMA UKWELI HAPA
Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa
mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya
kisasa nissan murano!! Akichezesha taya na mwandishi wetu aliyekuwa
manager wa ney amesema tangu aachane na ney miezi 7 iliyopita alikuwa
hana hata nyumba moja ameshangaa kumuona ana nyumba nne ghafla lakini
manager amesema inawezekana jamaa anatafuta kiki ili watu wanaomuita
kwenye show wafikirie kumpa mpunga mrefu na si laki laki wanazolipwa
kwenye fiesta! Amefunguka kwamba Ney kuwa na hizo nyumba basi itakuwa ni
miujiza.
KUMBE NEY WA MITEGO NI MUONGO MKUBWA, KUMBE HANA NYUMBA 3 KAMA ALIVYOTAMBA. SOMA UKWELI HAPA
Reviewed by Unknown
on
03:30:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
03:30:00
Rating:
