JE UWOYA NAE AMEZAMIA MOJA KWA MOJA? .....UWOYA AJIUNGA NA MASOGANGE KUISHI SAUZI...WANAKAA NYUMBA MOJA...CHEKI VIDEO HII UWOYA AKIPIKA.
Hili ni swala la kujiuliza...ingawa hadi sasa Uwoya hajasema
chochote...Lakini Masogange kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM amekuwa
akiweka picha kadhaa za Irene Uwoya wakiwa pamoja huko SAUZI....Sasa
katika kumaliza zaidi jana ameka video Irene akiwa anapika....HEHEHEHE
JE UWOYA NAE AMEZAMIA MOJA KWA MOJA? .....UWOYA AJIUNGA NA MASOGANGE KUISHI SAUZI...WANAKAA NYUMBA MOJA...CHEKI VIDEO HII UWOYA AKIPIKA.
Reviewed by Unknown
on
09:26:00
Rating: