Beyonce atajwa na “Forbes” kuwa mtu maarufu tajiri zaidi 2014, huwezi amini Jay-Z wangapi kwa sasa.

Beyoncé-on-the-cover-of-Forbes-magazine-jun-2009
Kwa mujibu wa “Forbes” Beyonce ndio msanii anayeshikilia namba moja mwaka huu katika orodha ya watu maarufu 100 duniani, ni baada tu ya kuzidi kuchukua tuzo ikiwemo ya BET  kutokana na kufanya vizuri kwa album yake mpya ya “Beyonce” na kuingiza kiasi cha $115million kwa mwaka huu tu, Inasemekana kuwa tour yake ya “Mrs Carter” ya dunia nzima ndio iliyofanya azidi kupata umaarufu zaidi na kuendelea kuingiza mkwanja wakutosha uliomuweka kufikia namba moja, na kuongoza list hiyo ya watu maarufu 100 matajiri duniani.
Beyonce,JAY Z
Inasemekana kuwa katika tour yake moja tu, yenye show tano, inaingiza kiasi cha dola milioni $2.4 kwa show moja tu. Wengine wanaofuata ni;
LeBron James (2) – $72million,
Dr. Dre (3) – $620million,
Oprah Winfrey (4) – $82million,
Ellen DeGeneres (5) – $70million,
Jay Z (6) – $60million,
Floyd Mayweather (7) – $105million,
Rihanna (8) – $48million,
Katy Perry (9) – $40million,
Robert Downey Jr (10) – $75million.
Beyonce atajwa na “Forbes” kuwa mtu maarufu tajiri zaidi 2014, huwezi amini Jay-Z wangapi kwa sasa. Beyonce atajwa na “Forbes” kuwa mtu maarufu tajiri zaidi 2014, huwezi amini Jay-Z wangapi kwa sasa. Reviewed by Unknown on 01:19:00 Rating: 5
Powered by Blogger.