R.O.M.A, MO MUSIC, TUNDA MAN WAANGUSHA BONGE LA SHOO COCO. TAZAMA PICHA HAPA
WASANII wanaokimbiza Bongo, R.O.M.A, Mo Music na Tunda Man jana wameangusha bonge la shoo katika fukwe za Coco Beach, jijini Dar.
Shoo hiyo iliandaliwa na Kampuni ya Zantel kwa kushirikiana na Redio
Times FM ambayo ilikuwa na lengo la kutangaza bidhaa za Zantel na
kuwaburudisha mashabiki wa burudani Bongo.
SOURCE-GPL
R.O.M.A, MO MUSIC, TUNDA MAN WAANGUSHA BONGE LA SHOO COCO. TAZAMA PICHA HAPA
Reviewed by Unknown
on
03:52:00
Rating: