KWANINI DIAMOND AMEMUACHA WEMA KWENYE TUZO ZA BET? WAKATI WEMA ALISHAPOST KUA ATAKWENDA?

http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2014/06/diamond2.jpg?resize=311%2C520Kama mnavyojua mwakilishi pekee kuwahi kushiriki kutoka hapa 255 kwenye tuzo za BET 2014 msanii Diamond yupo Marekani alipokuwa akiwania tuzo ya msanii wakimataifa-kwa Afrika kwa bahati mbaya amekosa na msanii kutoka Nigeria, Davido ndio amenyakua tuzo hiyo; Hongera sana Diamond kwa kuhudhuria tena.....
Turudi kwenye mada:
Kama unakumbuka vizuri kwenye tuzo za MTVMAMA...Msanii diamond aliongozana na KIJIJI..yani ni kundi kubwa la watu, kuanzia kina tale, Fella, Aunt Ezekiel, na wengine kibao akiwepo mama la mama yani Wema Sepetu:
BUT hizi za BET naona kijana amepunguza timu na hadi mama la mama amepigwa chini yani hajaibuka nae...Ukizingatia kwamba kupitia SOSHO MIDIA, Wema Sepetu alishaleta mbwembwe za kuwenda kwenye tuzo hizo na kuonana na ndugu zake wanaoishi huko marekani;
 
 Mwezi uliopita kupitia INSTAGRAM Wema aliandika hivi:
 
" You two are reeeeeaaaally missed... But BET is jus around da corner... Ama see you guys soon... I love you dada zangu... #myBeautifulSisters#FirstBorn#ThirdBorn#sisterLove#unconditionalLove#PureLove#fromTheHeart������ @tsepetu @ssepetu @nsepetu .... Mmmmh i wonder kwanini na mimi sikuwa @wsepetu.... Tungetisha Sepetuzzzz.... ����"
by Wema Sepetu.

 

Sasa tunajiuliza je, jamaa aliona ni gundu kwenda nae (siunajua mambo ya kiswahili tena)? au nauli?
Hehehe yetu macho moshi tumeshauona.....Kabla sijakuacha ujiulize nawewe...Kingine tena hiki hapa....Tofauti na MTV Wema sasa hadi sasa  hivi (muda huu naposti hii kitu)hajasema chochote kwenye mitandao ya kijamii kumtia moyo MUPENZI WAKE!!!!!

ITAFAHAMIKA TU...AU NDIO MWEZI MTUKUFU!!! 
KWANINI DIAMOND AMEMUACHA WEMA KWENYE TUZO ZA BET? WAKATI WEMA ALISHAPOST KUA ATAKWENDA? KWANINI DIAMOND AMEMUACHA WEMA KWENYE TUZO ZA BET? WAKATI WEMA ALISHAPOST KUA ATAKWENDA? Reviewed by Unknown on 05:37:00 Rating: 5
Powered by Blogger.