Beyonce Auelezea Mguso Wa Michael Jackson

Jana, June 25 ilitimia miaka 5 tangu afariki mfalme wa Pop duniani, Michael Jackson. Wasanii wengi wakubwa duniani waliandika ujumbe kumkumbuka akiwemo Beyonce Knowles.
Beyonce and Michael JacksonBeyonce aliandika kwenye website yake ujumbe maalum unaosimulia maisha yake kwa kukumbuka matukio yaliyokuwa yanamgusa MJ.
Aliandika kuwa wakati anaanza muziki, producer wake wa kwanza alimtaka aangalie performance ya Michael Jackson ‘Who’s Loving You’ kwa masaa kadhaa.
Alieleza kuwa alimwambia afanye hivyo kwa lengo la kujifunza kuwa unaweza hata kusikia roho yake wakati anaperform.
What he wanted me to learn was his soul. You could hear his soul. And he was this little kid who hadn’t experienced love but he was a vessel.For whatever reason he could evoke more emotion than an adult. It was so raw and so pure. It was these little things that he did that were just swag. It’s something that’s God given.” Aliandika Beyonce.
Alieleza kuwa alijifunza kuwa sio lazima kila wakati utumie technique na kufuata hisia zako.
“Michael Jackson alinibadilisha, na alinisaidia kuwa mwanamuziki kwa jinsi nilivyo, asante Michael.”
Beyonce Auelezea Mguso Wa Michael Jackson Beyonce Auelezea Mguso Wa Michael Jackson Reviewed by Unknown on 02:20:00 Rating: 5
Powered by Blogger.