RINAH AFUNGUKA JINSI BWANAKE ALIVYO MDANGANYA,AKUMBUKA MATOKEO YA FORM4,KUFANYA MUZIKI WAZAZI WAUZIKA,NA KUM-DATE JAMAA AMBAYE NIII
Paparazi ilipata nafasi ya kuongea na msanii linah sanga na haya ndiyo mambo matano yanayomuumiza hadi leo!!
05. “nilivyosikia boyfrend
wangu amenidanganya nilijisikia vibaya, unajua ni mtu ambaye sikutegemea
kabisa. Tupo pamoja miaka yote na yupo so sweet kwangu lakini
sikutegemea jinsi nilivyosikia eti ana-cheat baada ya mambo yote
tuliyopitia,kwakweli zile taarifa zilinifanya niwe down sana”
04. “Nilivyokua form four
majibu yalivyotoka , unajua mimi nilikua na plan za kusoma na kufika
mbali.Sometime nakumbuka matokeo yalinifanya nisiwe na raha kabisa na
kuna wakati mambo ya muziki yakienda vibaya najuta sana nakumbuka zile
siku”
03. “Hadi sasa nafanya kazi ya
muziki but i’m not happy kwasababu najua nawaudhi wazazi wangu. wazazi
wangu wanatamani siku moja nirudi kundini (kanisani) lakini sasa mimi
nafanya muziki in a good way na bado naendelea kua binti mzuri kwa
wazazi wangu”
02. “Niliwahi kum-date mtu
ambaye hakuwa sawasawa kama binadamu wa kawaida. yule kaka alikua na
miaka 24 na mimi nina miaka 15 kwa wakati ule na historia yake huko
nyuma alipitia mambo yakishirikina akawa kama msukule. kipindi kile
kilikua kigumu sana kwangu”
01 . “Niliwahi kuumwa sana na
kukaribia kua chizi kutokana na mahusiano . sehemu pekee niliyoponea
ilikua ni kanisani kwa maombi ya muda mrefu sana.siwezi kusahau kipindi
kile na hadi leo namshukuru mungu kwa kupona.”
RINAH AFUNGUKA JINSI BWANAKE ALIVYO MDANGANYA,AKUMBUKA MATOKEO YA FORM4,KUFANYA MUZIKI WAZAZI WAUZIKA,NA KUM-DATE JAMAA AMBAYE NIII
Reviewed by Unknown
on
07:05:00
Rating: