Baada ya David Cameron Kupitisha Ndoa ya Jinsia Moja Usiku wa Jana,Hizi Ni Ndoa Zilizofanyika Mdamfupi baadaye




Baada ya sheria inayoruhusu ndoa za jinsia moja kufanyika Uingereza Na Wales usiku wa kuamkia tarehe 29/3/2014 tayari ndoa tatu zimefanyika mapema leo asubuhi. David Cameron ametia saini sheria hio kuonyesha watu wote wako sawa “Haijalishi shoga au sio shoga”
Scotland walipitisha sheria hio February na ndio hizo zitaanza October. Northern Ireland hawana mpango wakufata nyayo hizo
noma
Jumamosi iliyopita Mr Cameron aliandika twitter “Congratulations to the gay couples who have already been married – and my best wishes to those about to be on this historic day.”
Sean Adl-Tabatabai, left, and Sinclair Treadway
Peter Tatchell at the wedding of Peter McGraith and David Cabreza
Andrew Wale and Neil Allard
Andrew Wale and Neil Allard facing photographers

Baada ya David Cameron Kupitisha Ndoa ya Jinsia Moja Usiku wa Jana,Hizi Ni Ndoa Zilizofanyika Mdamfupi baadaye Baada ya David Cameron Kupitisha Ndoa ya Jinsia Moja Usiku wa Jana,Hizi Ni Ndoa Zilizofanyika Mdamfupi baadaye Reviewed by Unknown on 08:16:00 Rating: 5
Powered by Blogger.